Moja ya kivutio kilichokuwepo katika maonesho yanayoendelea ya  Wizara ya Nishati na Madini ni ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite kama anavyonekana
Wananchi  katika maonesho ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo  ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite umekuwa kivutio kikubwa kama anavyonekana
Mgunduzi wa Tanzanite Mzee Jumanne Mhero Ngoma (kati) akiwa na maafisa wa  GST , baada ya majadiliano mafupi. Picha na Samwel .Mtuwa. Kwa maelezo juu ya mgunduzi wa Tanzanite wasiliana na namba Mobile : +255 754 93 24 21 na email: mtuwasamwel@hotmail.com
Certicate iliyotolewa rasmi na serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa mgunduzi wa madini ya Tanzanite  mwaka 1984 ilitolewa na Waziri wa Uchumi na Mipango kwa wakti ule .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2011

    Shujaa Asiyeimbwa ndo kitu kani hichgo?? Acheni uvivu wa kutafsiri!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2011

    Mzee anaonekana kachoka, je, mbali na cheti anafaidika lolote kutokana na ugunduzi wake? Au ndiyo mambo ya Kibongobongo, kazi anafanya mwingine kufaidi anafaidi mwingine.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2011

    Yeye aligundua tu, haina maana hayo machimbo ni yake, au apewe asilimia fulani kwa kila idadi ya tanzanite inayochimbwa. Kama alikuwa mjanja alikuwa asisema kuwa hayo ni madini bali ajikusanyie nyumbani kwake. Bill Gate alitajirika kwa sababu alishinda tenda ya kuandika software kwa IBM. Sio kama wale jamaa zangu waliojifanya wanauza ati wanataka kuwa Bill Gate wa TZ!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2011

    Angekuwa Mkristo angfaidi, kwa kuwa Muislamu haweza kutangazwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...