![]() |
Moja ya kivutio kilichokuwepo katika maonesho yanayoendelea ya Wizara ya Nishati na Madini ni ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite kama anavyonekana |
![]() |
Wananchi katika maonesho ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite umekuwa kivutio kikubwa kama anavyonekana |
![]() |
Mgunduzi wa Tanzanite Mzee Jumanne Mhero Ngoma (kati) akiwa na maafisa wa GST , baada ya majadiliano mafupi. Picha na Samwel .Mtuwa. Kwa maelezo juu ya mgunduzi wa Tanzanite wasiliana na namba Mobile : +255 754 93 24 21 na email: mtuwasamwel@hotmail.com |
![]() |
Certicate iliyotolewa rasmi na serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa mgunduzi wa madini ya Tanzanite mwaka 1984 ilitolewa na Waziri wa Uchumi na Mipango kwa wakti ule . |
Shujaa Asiyeimbwa ndo kitu kani hichgo?? Acheni uvivu wa kutafsiri!!
ReplyDeleteMzee anaonekana kachoka, je, mbali na cheti anafaidika lolote kutokana na ugunduzi wake? Au ndiyo mambo ya Kibongobongo, kazi anafanya mwingine kufaidi anafaidi mwingine.
ReplyDeleteYeye aligundua tu, haina maana hayo machimbo ni yake, au apewe asilimia fulani kwa kila idadi ya tanzanite inayochimbwa. Kama alikuwa mjanja alikuwa asisema kuwa hayo ni madini bali ajikusanyie nyumbani kwake. Bill Gate alitajirika kwa sababu alishinda tenda ya kuandika software kwa IBM. Sio kama wale jamaa zangu waliojifanya wanauza ati wanataka kuwa Bill Gate wa TZ!!!!!!!!!!
ReplyDeleteAngekuwa Mkristo angfaidi, kwa kuwa Muislamu haweza kutangazwa.
ReplyDelete