Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishindana kwenye mchezo wa kukimbia na gunia katika siku ya” Vodacom family day”inayofanyika Hotel ya Kunduchi Beach jijini la Dares Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwashangilia watoto  walioshiriki katika michezo mbalimbali  siku ya “ Vodacom family day”inayofanyika  leo katika Hotel ya Kunduchi Beach  jijini  Dares Salaam
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Imani Dominick wa kitengo kinachojihusisha na majengo na minara akimtoka mfanyakazi mwenzake katika mchezo wa beach soccer  siku ya Vodacom Family day inayofanyika leo Hotel ya Kunduchi Beach  jijini  Dares Salaam.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichuana vikali kwenye mchezo wa Beach Soccer wakati wa siku ya Vodacom Family day inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach  jijini  Dares Salaam.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichuana vikali katika mchezo wa Beach Volleyball  siku ya  Vodacom family day inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach  jijini  Dares Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. TeknohamaJuly 30, 2011

    Beach na ma-Tshirt na Jeans??..khah! Inakuaje tena wadau Vodacom??
    Twendeni na wakati jamani.. Kampuni kubwa hiyo. Beach wear hata za mitumba zimewashinda jamani??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...