![]() |
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishindana kwenye mchezo wa kukimbia na gunia katika siku ya” Vodacom family day”inayofanyika Hotel ya Kunduchi Beach jijini la Dares Salaam. |
![]() |
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichuana vikali kwenye mchezo wa Beach Soccer wakati wa siku ya Vodacom Family day inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach jijini Dares Salaam. |
![]() |
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichuana vikali katika mchezo wa Beach Volleyball siku ya Vodacom family day inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach jijini Dares Salaam. |
Beach na ma-Tshirt na Jeans??..khah! Inakuaje tena wadau Vodacom??
ReplyDeleteTwendeni na wakati jamani.. Kampuni kubwa hiyo. Beach wear hata za mitumba zimewashinda jamani??