Washiriki wa Redd's Miss Ilala 2011 wakiwa katika picha ya pamoja nje wa hoteli ya Paradise City iliopo kwenye jengo la Benjamin Mkapa Tower katikati ya jiji la Dar es salaam leo.Warembo hao watakuwepo katika hoteli hiyo hadi siku ya mashindano itakapowadia.
Warembo wa Redd's Miss Ilala wakiwasili katika hoteli ya Paradise City leo.
Mratibu wa Redd's Miss Ilala,Leyla Bhanji akiwapa somo warembo.
Meneja Masoko wa Paradise City Hotel,Michael Mokua (pili kushoto) akizungumza na wanahabari pamoja na warembo watakaoshiriki shindano la Redd's Miss Ilala 2011.wengine pichani kutoka kulia ni Mwalimu wa Warembo hao,Aneth Mwakaguo,Mratibu msaidizi wa Miss Ilala,Regina Joseph pamoja na Meneja wa Paradise Hotel,Arnold Lema.
HOHOHOHOHOHOHO WOTE WAZURI!!
ReplyDeleteNyie akina dada.Kwanza habari zenu? Huo muda uliobaki utumieni kujisomea makala mbali mbali ili kujua nchi yetu iko wapi,dunia iko wapi,kitu gani kinaendelea hapa duniani(kijamii,kiuchumi,kisiasa nk).Ni rahisi mno someni magazeti,sikilizeni redio,angalia taarifa za habari,tumieni mitandao,soma blogs etc.Mimi siyo mpenzi wa sana wa mashindano haya lakini huwa nayafuatilia kupitia kwenye "media"."Vijiswali" vingine virahisi vya kitoto huwa naona vinawatoa jasho, mnahangaika kuvijibu...!!
ReplyDeleteNatatakia kila la kheri.
David V
The girlz are cute!! wish I were in Dar es salaam...... All the best the Queens of Tanzania.
ReplyDeleteKuuliza sio ujinga!!
ReplyDeleteHawa warenbo wana wenziwao?.