Washiriki wa Redd's Miss Ilala 2011 wakiwa katika picha ya pamoja nje wa hoteli ya Paradise City iliopo kwenye jengo la Benjamin Mkapa Tower katikati ya jiji la Dar es salaam leo.Warembo hao watakuwepo katika hoteli hiyo hadi siku ya mashindano itakapowadia.
 Warembo wa Redd's Miss Ilala wakiwasili katika hoteli ya Paradise City leo.
 Mratibu wa Redd's Miss Ilala,Leyla Bhanji akiwapa somo warembo.
Meneja Masoko wa Paradise City Hotel,Michael Mokua (pili kushoto) akizungumza na wanahabari pamoja na warembo watakaoshiriki shindano la Redd's Miss Ilala 2011.wengine pichani kutoka kulia ni Mwalimu wa Warembo hao,Aneth Mwakaguo,Mratibu msaidizi wa Miss Ilala,Regina Joseph pamoja na Meneja wa Paradise Hotel,Arnold Lema.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2011

    HOHOHOHOHOHOHO WOTE WAZURI!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2011

    Nyie akina dada.Kwanza habari zenu? Huo muda uliobaki utumieni kujisomea makala mbali mbali ili kujua nchi yetu iko wapi,dunia iko wapi,kitu gani kinaendelea hapa duniani(kijamii,kiuchumi,kisiasa nk).Ni rahisi mno someni magazeti,sikilizeni redio,angalia taarifa za habari,tumieni mitandao,soma blogs etc.Mimi siyo mpenzi wa sana wa mashindano haya lakini huwa nayafuatilia kupitia kwenye "media"."Vijiswali" vingine virahisi vya kitoto huwa naona vinawatoa jasho, mnahangaika kuvijibu...!!

    Natatakia kila la kheri.

    David V

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2011

    The girlz are cute!! wish I were in Dar es salaam...... All the best the Queens of Tanzania.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2011

    Kuuliza sio ujinga!!
    Hawa warenbo wana wenziwao?.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...