Home
Unlabelled
wasanii wa tanzania house of talent (THT) wakiwa na Usher raymond Marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HARAKATI KAMA HIZI KWANGU MIMI NA TANZANIA HASA KATIKA FANI YA SANAA NA MZIKI NI HATUA MOJA KUBWA SANA VIJANA WAMEJITANGAZA VYA KUTOSHA.BINAFSI NAWAPONGEZA SANA SANAAAAA...www.shadrackmsuya.blogspot.com
ReplyDeletePoa sana!
ReplyDeletenzuri sana,hatua nzuri,hawa vijana hawana mpinzani napenda sana kazi zao
ReplyDeleteHIZI PICHA ZOTE NI FEKI JAMAA AMETUMIA ADOBE 7 KUEDIT HIZI
ReplyDeletePhotoshop hiyo , nataka kuona picha zaidi wako USA, mbona hii picha iko kinamna kiasi haionekani kama ina uhalisia, tuwekeeni picha za ziara nzima basi , mbona picha za fiest za mikoni ziko kibao kwnye facebook za hawa jamaa , sembuse hizi za Marekani, ina maana hawtaki kuonekana wako marekani, jamani wekeni picha zenu facebook mtutoe kasoro za kuwa tuhumu kila siku
ReplyDeleteAnyway kisa Rais wetu ni msanii basi kila mtu mnafikiri ni msanii usibishe kitu usichikijua.... haya bofya link hiyo
ReplyDeletehttp://zamaradimketema.blogspot.com/2011/07/tht-wakiwa-kwenye-rehearsals.html
Sony - A town
Nimeona hiyo Link lakini inaweza kuwa ni south Africa, hahahahah, hawa wasanii, kuna wakati walisema Mwasity kaenda New York an atatumbuza na yuel Yusour Ndour, hakuna picha wala chohcote wka Mwasitty kuonyesha wako New York.Iweje mtu uende New York na utumbuize na msanii mkubwa wa Africa halafu tusione hata picha moja kwenye facebook yako wakati umejaza picha za fiesta za mikoani? tena hadi za huko sijui Shinyanga.
ReplyDeleteHii picha ni fake, mbona sija ona hata yule Flaviana matata kapiga picha hata na B12 wakati walikua wope huko? na huyo B12 asiweke hata picha moja huko facebook? tuhakikisheni tuone kama kwlei hahahahahaa.