baadhi ya wasanii wa kundi la THT, Mwasiti, Amini, Linah, Moses na Barnabas, ambao walikwenda nchini Marekani kwa mwaliko maalum kutoka Foundation ya Usher Raymond, pamoja na mambo mengine, walipata wasaa wa kukutana uso kwa uso na mwanamuziki huyo wa kimataifa na kupiga naye picha. Picha na THT

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HARAKATI KAMA HIZI KWANGU MIMI NA TANZANIA HASA KATIKA FANI YA SANAA NA MZIKI NI HATUA MOJA KUBWA SANA VIJANA WAMEJITANGAZA VYA KUTOSHA.BINAFSI NAWAPONGEZA SANA SANAAAAA...www.shadrackmsuya.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2011

    nzuri sana,hatua nzuri,hawa vijana hawana mpinzani napenda sana kazi zao

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2011

    HIZI PICHA ZOTE NI FEKI JAMAA AMETUMIA ADOBE 7 KUEDIT HIZI

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2011

    Photoshop hiyo , nataka kuona picha zaidi wako USA, mbona hii picha iko kinamna kiasi haionekani kama ina uhalisia, tuwekeeni picha za ziara nzima basi , mbona picha za fiest za mikoni ziko kibao kwnye facebook za hawa jamaa , sembuse hizi za Marekani, ina maana hawtaki kuonekana wako marekani, jamani wekeni picha zenu facebook mtutoe kasoro za kuwa tuhumu kila siku

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 27, 2011

    Anyway kisa Rais wetu ni msanii basi kila mtu mnafikiri ni msanii usibishe kitu usichikijua.... haya bofya link hiyo

    http://zamaradimketema.blogspot.com/2011/07/tht-wakiwa-kwenye-rehearsals.html


    Sony - A town

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2011

    Nimeona hiyo Link lakini inaweza kuwa ni south Africa, hahahahah, hawa wasanii, kuna wakati walisema Mwasity kaenda New York an atatumbuza na yuel Yusour Ndour, hakuna picha wala chohcote wka Mwasitty kuonyesha wako New York.Iweje mtu uende New York na utumbuize na msanii mkubwa wa Africa halafu tusione hata picha moja kwenye facebook yako wakati umejaza picha za fiesta za mikoani? tena hadi za huko sijui Shinyanga.

    Hii picha ni fake, mbona sija ona hata yule Flaviana matata kapiga picha hata na B12 wakati walikua wope huko? na huyo B12 asiweke hata picha moja huko facebook? tuhakikisheni tuone kama kwlei hahahahahaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...