Maziwa haya ya Asas Dairies Ltd Iringa yameendelea kufanya vema katika soko la maziwa hapa nchini kiasi cha kuua soko kabisa la maziwa kutoka nje ya Tanzania,maziwa haya kwa sasa yanapatikana nchi nzima 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hayo maendeleo, tunapiga hatua taratibu.

    ReplyDelete
  2. Saaaaaaaaaaaaaafi sana! Tuwaombee waendelee hivyo.

    ReplyDelete
  3. Safi sana Asas diaries, kazi kwenu serikali kuweka mazingira mazuri ya wawekezaji viwanda. Punguzo la kodi kwa wanaojenga na kuwekeza kwenye viwanda. Na umeme wa uhakika.
    Mpenda maendeleo USA.

    ReplyDelete
  4. Songea yanapatikana duka gani? Mtwara na Lindi natumai nitayakuta maeneo ya free park, Dubai (Mtwara) Himo one au stand (Lindi)au na kwenyewe hayajafika? Nchi nzima maana yake nini?

    ReplyDelete
  5. This is a big shem kwa aliye post hii kit! Haya maziwa kwasasa yanakaribia wiki mbili hayapatikani madukani jijini Dar. Nimekuwa nikiyatafuta kuanzia Shoprite, Wande supermarket pale Sayansi, Bigbon Sinza kote hakuna tangu wiki jana sasa leo nashangaa kusikia eti yameteka soko au ni soko la huko Iringa?

    ReplyDelete
  6. Mimi nilikuwa nashangaa kweli Watz kununua maziwa kutoka Zimbabwe wakati yetu yanaharibika.

    Hongera sana ASAS mujitahidi angalau tuwape ajira wananchi na wafugaji ili kuinua kipato chao.

    ReplyDelete
  7. TANGA FRESH NAYO VP ....WADAU TUPENI HABARI BONGO TUMEONDOKA SIKU NYINGI, HABARI KAMA HIZI NI NADRA KUZIPATA, KAMPUNI ZETU PIA ZINAWEZA TUKIPIGA VITA UFISADI NCHINI !!

    ReplyDelete
  8. Tanga Fresh wapo na wanapeta kichizi,maziwa yao ni funika ,mtindi,fresh yoghurt

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...