Sheikh Muhidin Abrahman akitoa mawaidha kwa waliohudhuria hafla ya iftar iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania UAE kwenye Ubalozi mdogo Tanzania Dubai siku kadhaa zilizopita.Kulia ni Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai na Emarati za kaskazini, Mh Ali Ahmed Saleh.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo,Sheikh Farouk kutoka Zanzibar (kushoto) akitoa mawaidha kwa Waliohudhuria.
Watanzania waliohudhuria hafla hiyo wakipata futari.
Mkuu Majid nakuona katika kuwaunganisha ndugu na jamaa mliopo hapo.
ReplyDeleteKukutana watanzania pamoja ni kitu muhimu sana katika kuleta ushiriano na upendo katika jamii.
Mdau USA