Sheikh Muhidin Abrahman akitoa mawaidha kwa waliohudhuria hafla ya iftar iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania UAE kwenye Ubalozi mdogo Tanzania Dubai siku kadhaa zilizopita.Kulia ni Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai na Emarati za kaskazini, Mh Ali Ahmed Saleh.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo,Sheikh Farouk kutoka Zanzibar (kushoto) akitoa mawaidha kwa Waliohudhuria.
Watanzania waliohudhuria hafla hiyo wakipata futari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mkuu Majid nakuona katika kuwaunganisha ndugu na jamaa mliopo hapo.
    Kukutana watanzania pamoja ni kitu muhimu sana katika kuleta ushiriano na upendo katika jamii.
    Mdau USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...