Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nina penda hii. gado you are the best. kwanini huyo besigye asikubali kushindwa na akangojea next election. huyo besigye amesha pigwa na polisi sijui mara ngapi. si ajabu amearibiwa ubongo. nina mshauri apumzike ili arudishe afya yake.

    ReplyDelete
  2. Si ajab hata kina Mandela walikua wanaambiwa maneno ya kukatisha tamaa kama hayo ya mchangiaji wa juu hapo.. just saying..

    ReplyDelete
  3. Mdau wa hapo juu, kwani Besigye ameshindwa kihalali au kimizengwe?

    Na kuna ubaya gani kwa kampeni yake hiyo ya walk to work, kwani inasave mafuta pamoja na kuhamasisha mazoezi kwa wenye vitambi.

    Baada ya miaka 26 ya utawala mu7 hana mpya yo yote amechoka lakni hataki kungóka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...