Baraka Daudi akimpa pole mdogo wa marehemu,Juliet Samaka aliyefika Jumapili Aug 7,2011 kutokea Tanzania kuja kushughulikia maswala ya marehemu dada yake mpendwa,Macrina Samaka aliyefariki Jumamosi July 30,2011,Washington Hospital Center.
Juliet Samaka(shoto)akipewa mkono wa pole na mke wa Baraka Daudi,anaeitwa Mather(kulia) na kati ni Magrette Wahida.
Kutoka kushot na Mama Mkama aliyekuja kutoa rambi rambi zake,Juliet Samaka na Magrette Wahida


Julieth Pole sana. Nilikua najiuza kama huyu ni dada yake Julieth Samaka au la. kwa hiyou leo nimejua ni kweli. Pole sana Julieth. Nakuombea Mungu akupe nguve wewe na familia yako.
ReplyDeleteRafiki yako.