
Msanii wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya A.Y (katikati) akiwa na tuzo yake aliyopiata wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Muziki za Afrika Mashariki (East Afrika Music Awards).Kulia ni mtangazaji wa Radio Clouds Fm,Hamis Mandi a.k.a B12

Mwimbaji wa nyinbo za injili Chritina Shusho akiwana Tuzo yake ya Best Female Artst.

Mwakilishi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Roman Mng'ande akionyesha tuzo Best Rhumba Group waliyoipata kwenye Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Muziki za Afrika Mashariki (East Africa Music Awards) iliyofanyika mjini Nairobi, Kenya.Picha na Mdau Sauda Simba.


HONGERA SANA BABA YA MUZIKI TANZANIA MSONDO NGOMA "MUSIC"
ReplyDeleteMDAU VUMBI DEKULA SWEDEN