Msanii wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya A.Y  (katikati) akiwa na tuzo yake aliyopiata wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Muziki za Afrika Mashariki (East Afrika Music Awards).Kulia ni mtangazaji wa Radio Clouds Fm,Hamis Mandi a.k.a B12
 Mwimbaji wa nyinbo za injili Chritina Shusho akiwana Tuzo yake ya Best Female Artst.
Mwakilishi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Roman Mng'ande akionyesha tuzo Best Rhumba Group waliyoipata kwenye Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Muziki za Afrika Mashariki (East Africa Music Awards) iliyofanyika mjini Nairobi, Kenya.Picha na Mdau Sauda Simba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA BABA YA MUZIKI TANZANIA MSONDO NGOMA "MUSIC"
    MDAU VUMBI DEKULA SWEDEN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...