Watoto wa Mitaani waliopo kwenye keep left ya Uhuru na Msimbazi,Kariakoo wakicheza kamali hadharani bila ya kuwa na wasi wasi wowote kutokana na mchezo huo kuto ruhusiwa kisheria.
Watoto wengine wakiwa wamelala muda huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ustawi wa Jamii na wizara husika ziko wapi? Ndio hawa kesho kutwa wanakua wezi na majambazi halafu serikali na raia kwa ujumla watapaswa kutumia mapesa mengi ili kuimarisha ulinzi. Kudhibiti uharifu ni pamoja na kutokomeza vyanzo vyake. Nasi raia tunamchango mkubwa katika kufanikisha hili, tusijihusishe na mambo yanayoweza kuacha watoto bila wazazi, na pia tuzae kwa mpango.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...