Lori la mizigo likifanya yuutani maeneo ya Tabata Al Hamza mchana huu pamoja na kwamba kuna kibao kinachozuia kufanya hivyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. RESENI MTU ANATELEWA NYUMBANI SASA WEWE UNATEGEMEA NINI.MADEREVA WENGI HAWANA QUALIFICATION ZA KUENDESHA HAYO MAGARI NA MWISHO WA SIKU NI AJARI KWA KWENDA MBELE.TANZANIA KILA KITU TUMESHINDWA AIBU SANA!

    ReplyDelete
  2. Ukimkuta huyo dereva anavyolaani uzembe serikalini, utadhani yeye ni raia mkamilifu kabisa. Bandugu, ili tupige hatua, ni lazima kufuata taratibu na kanuni za nchi! Vinginevyo tutakuwa tunafanya utani tu!

    ReplyDelete
  3. Nchi watu hawana nidhamu kabisa na serikali imekaa tuu .. Namna hii hakutakuwa na maendeleo tutaota tuu..

    ReplyDelete
  4. Utii wa sheria SUFURI KABISAA,Madereva wa magari mara zote wanavunja sheria kwa maksudi na wenye mali huwa wanatumia uwezo wao wa kipesa kuwakomboa toka katika mikono ya sheria

    ReplyDelete
  5. Huyo hata akikamatwa anajua akitoa jero tu kaachiwa. Trafiki anahakikisha anakwenda kazini mapema na kuchelewa kuondoka, kwani hesabu yake kwa siku andoke na 30,000/-.

    ReplyDelete
  6. Mdau wa kwanza RESENI ni kitu gani? ni leseni.

    ReplyDelete
  7. Sio reseni ni leseni, na sio ajari ni ajali.
    kiswahili kigumu eeh?!
    a e i o u
    la le li lo lu, leseni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...