Home
Unlabelled
Watoto wa Mitaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ustawi wa Jamii na wizara husika ziko wapi? Ndio hawa kesho kutwa wanakua wezi na majambazi halafu serikali na raia kwa ujumla watapaswa kutumia mapesa mengi ili kuimarisha ulinzi. Kudhibiti uharifu ni pamoja na kutokomeza vyanzo vyake. Nasi raia tunamchango mkubwa katika kufanikisha hili, tusijihusishe na mambo yanayoweza kuacha watoto bila wazazi, na pia tuzae kwa mpango.
ReplyDelete