Home
Unlabelled
YALE YALEE...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
RESENI MTU ANATELEWA NYUMBANI SASA WEWE UNATEGEMEA NINI.MADEREVA WENGI HAWANA QUALIFICATION ZA KUENDESHA HAYO MAGARI NA MWISHO WA SIKU NI AJARI KWA KWENDA MBELE.TANZANIA KILA KITU TUMESHINDWA AIBU SANA!
ReplyDeleteUkimkuta huyo dereva anavyolaani uzembe serikalini, utadhani yeye ni raia mkamilifu kabisa. Bandugu, ili tupige hatua, ni lazima kufuata taratibu na kanuni za nchi! Vinginevyo tutakuwa tunafanya utani tu!
ReplyDeleteNchi watu hawana nidhamu kabisa na serikali imekaa tuu .. Namna hii hakutakuwa na maendeleo tutaota tuu..
ReplyDeleteUtii wa sheria SUFURI KABISAA,Madereva wa magari mara zote wanavunja sheria kwa maksudi na wenye mali huwa wanatumia uwezo wao wa kipesa kuwakomboa toka katika mikono ya sheria
ReplyDeleteHuyo hata akikamatwa anajua akitoa jero tu kaachiwa. Trafiki anahakikisha anakwenda kazini mapema na kuchelewa kuondoka, kwani hesabu yake kwa siku andoke na 30,000/-.
ReplyDeleteMdau wa kwanza RESENI ni kitu gani? ni leseni.
ReplyDeleteSio reseni ni leseni, na sio ajari ni ajali.
ReplyDeletekiswahili kigumu eeh?!
a e i o u
la le li lo lu, leseni