Katibu wa Mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, akihutubia katika mkutano wa kampebni uchaguzi mdogo jimbo la Igunga kijijini Isakamaliwa jana mchana.
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Sylvester Kasulumbai akihutubia wananchi wa kijiji cha Nanga leo katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo unaendelea jimboni hapa.
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Suzani KiwaNGA akihutubia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi kijijini Nanga mapema jana. Picha zote na Victor Makinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ankari tunaomba picha mpya.. Hizi ulishatuonyesha

    ReplyDelete
  2. nshimimana aka dumisaneSeptember 17, 2011

    hapo inakuwaje? mbona majorite wanaosikiliza kwa makini hawataweza ku piga kura!?

    = = =
    buffalo,
    new york

    ReplyDelete
  3. Mbona bendera ya chadema ina rangi mbya namna hiyo? Hizo rangi zenu zina maana gani?

    ReplyDelete
  4. CHADEMA HAMNA KITU!! SUBIRINI TUTAWAONESHA KWAMBA BADO TUNAKUBALIKA KULIKO MAWAZO YENU YANAVYOWATUMA.

    ReplyDelete
  5. UTABIRI WA HALI YA MATOKEO IGUNGA:

    1. CCM (56%)
    2. CUF (26%)
    3. CHADEMA (17%)
    4. VYAMA VINGINE (1%)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...