Katibu wa Mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, akihutubia katika mkutano wa kampebni uchaguzi mdogo jimbo la Igunga kijijini Isakamaliwa jana mchana.
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Sylvester Kasulumbai akihutubia wananchi wa kijiji cha Nanga leo katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo unaendelea jimboni hapa.
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Suzani KiwaNGA akihutubia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi kijijini Nanga mapema jana. Picha zote na Victor Makinda
Ankari tunaomba picha mpya.. Hizi ulishatuonyesha
ReplyDeletehapo inakuwaje? mbona majorite wanaosikiliza kwa makini hawataweza ku piga kura!?
ReplyDelete= = =
buffalo,
new york
Mbona bendera ya chadema ina rangi mbya namna hiyo? Hizo rangi zenu zina maana gani?
ReplyDeleteCHADEMA HAMNA KITU!! SUBIRINI TUTAWAONESHA KWAMBA BADO TUNAKUBALIKA KULIKO MAWAZO YENU YANAVYOWATUMA.
ReplyDeleteUTABIRI WA HALI YA MATOKEO IGUNGA:
ReplyDelete1. CCM (56%)
2. CUF (26%)
3. CHADEMA (17%)
4. VYAMA VINGINE (1%)