January Makamba akimwaga sera Igunga
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akinadi sera za CCM Igunga ambapo alitoa mpya kwa kusalimia vyama vyote ya siasa vilivyo katika kampeni jimboni hapo
![]() |
Wana CCM wamkishangilia. Picha zote na mdau Bashir Nkoromo |
Ni kweli watanzania tunahitaji Helicopter kipindi cha kampeni??
ReplyDeleteGharama zake ni kubwa sana kulinganisha na hali ya maisha duni walionayo hao wapiga kura..
Helicopters Au choppers wakati wa kampeni hupatikana kwa wingi sana na kumbepa mtu mmoja tu kwa gharama kubwa, Lkn linapotokea janga la kitaifa ili zitumike kuokoa jamii hujitokeza moja tu ama isipatikane kabisaa!ukaambiwa zipo matengenezoni uswaz. Ni lini tunatarajia jujiandaa linapotokeaze janga wakati katika kampeni choppers imekua ndio showdown?
ReplyDelete