Mratibu wa Kampeni za CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akimlaki January Makamba baada ya helkopta aliyokuja nayo kutua kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga. Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.


January Makamba akimwaga sera Igunga
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akinadi sera za CCM Igunga ambapo alitoa mpya kwa kusalimia vyama vyote ya siasa vilivyo katika kampeni jimboni hapo
Wana CCM wamkishangilia. Picha zote na mdau Bashir Nkoromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ni kweli watanzania tunahitaji Helicopter kipindi cha kampeni??
    Gharama zake ni kubwa sana kulinganisha na hali ya maisha duni walionayo hao wapiga kura..

    ReplyDelete
  2. Helicopters Au choppers wakati wa kampeni hupatikana kwa wingi sana na kumbepa mtu mmoja tu kwa gharama kubwa, Lkn linapotokea janga la kitaifa ili zitumike kuokoa jamii hujitokeza moja tu ama isipatikane kabisaa!ukaambiwa zipo matengenezoni uswaz. Ni lini tunatarajia jujiandaa linapotokeaze janga wakati katika kampeni choppers imekua ndio showdown?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...