Sheikh Muhidin Abdulrahman akiwaandaa waumini kwa sala ya ghaib ukumbi wa Jumuiya Rashidiya ,Dubai.
 Waumini wakiwa katika sala ya ghaib 
 Dua ya kuwaombea waumini baada ya sala ya ghaib 

Balozi mdogo wa Tanzania Dubai na Emirates za Kaskazini Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh(Kati kati ) akiwa katika kisomo cha hitma .Kulia kwake  ni Sheikh Muhidin na kushoto kwake  ni Bwana Ali Akbar .
 Waumini wakiwa katika kisomo  cha hitma kuombea waliopotea maisha katika ajali ya MV Spice Island ukumbi wa Jumuiya Rashidiya Dubai
 Waumini wakiwa katika kisomo 
Waumini wakipata sadka ya Halua na kahawa baada ya kisomo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii ni safi !
    p/s-mpiga picha ana kipaji

    ReplyDelete
  2. where are the women?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...