Sheikh Muhidin Abdulrahman akiwaandaa waumini kwa sala ya ghaib ukumbi wa Jumuiya Rashidiya ,Dubai.
Waumini wakiwa katika sala ya ghaib
Dua ya kuwaombea waumini baada ya sala ya ghaib
Balozi mdogo wa Tanzania Dubai na Emirates za Kaskazini Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh(Kati kati ) akiwa katika kisomo cha hitma .Kulia kwake ni Sheikh Muhidin na kushoto kwake ni Bwana Ali Akbar .
Waumini wakiwa katika kisomo cha hitma kuombea waliopotea maisha katika ajali ya MV Spice Island ukumbi wa Jumuiya Rashidiya Dubai
Waumini wakiwa katika kisomo
Waumini wakipata sadka ya Halua na kahawa baada ya kisomo
hii ni safi !
ReplyDeletep/s-mpiga picha ana kipaji
where are the women?
ReplyDelete