Waziri wa Nishati na Madini Mh William Ngeleja (kati) akipozi na Wazee wa Kazi wa Serengeti Freight Forwarders alipokuwa ziarani London, Uingereza, wikiendi ilopita. Pamoja na mambo mengine Mh Ngeleja alijionea jinsi WAZEE WA KAZI wanavyochapa kazi ya kusafirisha mizigo na magari kutoka Uingereza na kuleta Tanzania bila kelele wala mikwaruzo.
Picha na Jestina George
Picha na Jestina George
Hawa jamaa wanafanya kazi nzuri sana na wana Service nzuri sana. lakini huko Bongo waache uizi wa vitu bandarini hasa ukiweka ndani ya magari. Ni juzi tu wameniibia vitu ambavyo niliviweka ndani ya gari. Cha kushangaza ni kwamba nimelipa ushuru wa vitu ambavyo sikuvipata. Na ukipeleka barua ya malalamiko utasubiri 3 week kwa majibu na hapo ndio utakuta hata gari watachomoa vitu.
ReplyDeleteMdau Stockholm
nibanien lakini nimeongea ukweli kuhusu wamatangazo! may be kwa wengine, kwangu NOP!!
ReplyDelete