Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya mfuko wa kubebea makabrasha toka kwa afisa kwenye banda la ofisi ya Rais wakati alipotembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru jumapili hii kwenye viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa Road jijjini Dar
 Rais Kikwete akipata maelezo juu ya bustani ya wanyama pori iliyopo Ikulu
 Rais Kikwete akisikiliza maelezo juu ya jengo la Ikulu
 Rais Kikwete akiangalia waraka rasmi wa kutoka kwa Malkia Elizabeth II wa Uingereza wa kutoa Uhuru kamili kwa Tanganyika miaka 50 iliyopita
 Rais Kikwete akiangalia picha ta Baraza la Kwanza la Mawaziri bandani hapo
 Rais Kikwete akiangalia mapicha ya kumbukumbu
 Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa TASAF
 Rais Kikwete akiwa katika banda la Ofisi ya Rais
Wadau katika banda la Ofisi ya Rais wakimsubiri mgeni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi wale wanyama mbali mbali waliokuwapo Ikulu enzi zile wameenda wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  2. Itatimiaje miaka 50 ya Uhuru? au tokea nchi kufa imetimia miaka 50? maana Muungano kutimia miaka tunajua unaendelea ku-exist,sasa nchi isiyoexist itatimiza vipi Miaka 50? je Kiongozi wao anaitwaje wa hiyo nchi inayosherehekea miaka 50?

    ReplyDelete
  3. Hivi kweli jengo lile la Ikulu lilijengwa na Waarabu? na baadaye kununuliwa na Wajerumani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...