Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya mfuko wa kubebea makabrasha toka kwa afisa kwenye banda la ofisi ya Rais wakati alipotembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru jumapili hii kwenye viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa Road jijjini Dar
Rais Kikwete akipata maelezo juu ya bustani ya wanyama pori iliyopo Ikulu
Rais Kikwete akisikiliza maelezo juu ya jengo la Ikulu
Rais Kikwete akiangalia waraka rasmi wa kutoka kwa Malkia Elizabeth II wa Uingereza wa kutoa Uhuru kamili kwa Tanganyika miaka 50 iliyopita
Rais Kikwete akiangalia picha ta Baraza la Kwanza la Mawaziri bandani hapo
Rais Kikwete akiangalia mapicha ya kumbukumbu
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa TASAF
Rais Kikwete akiwa katika banda la Ofisi ya Rais
Wadau katika banda la Ofisi ya Rais wakimsubiri mgeni.
Hivi wale wanyama mbali mbali waliokuwapo Ikulu enzi zile wameenda wapi siku hizi?
ReplyDeleteItatimiaje miaka 50 ya Uhuru? au tokea nchi kufa imetimia miaka 50? maana Muungano kutimia miaka tunajua unaendelea ku-exist,sasa nchi isiyoexist itatimiza vipi Miaka 50? je Kiongozi wao anaitwaje wa hiyo nchi inayosherehekea miaka 50?
ReplyDeleteHivi kweli jengo lile la Ikulu lilijengwa na Waarabu? na baadaye kununuliwa na Wajerumani?
ReplyDelete