Jumuia ya wanafunzi wa kitanzania nchini Korea ya kusini (tzsko) inapenda kutoa salamu za sikukuu za mwisho wa mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012, pichani ni picha ya pamoja yabaadhi ya wana jumuiya ya wanafunzi wa kitanzania nchini Korea ya kusini, waliokutana tarehe 25 December 2011.

Pia katika kikao hicho walitumia fursa hiyo kuwakumbuka Ndugu na jamaa zetu walipoteza maisha katika Mafuriko yaliyotokea hivi karibuni, Tunawaombea marehemu walazwe mahali pema peponi, Amina.

KWA HABARI ZAIDI KUHUSU KOREA YA KUSINI NA JINSI YA KUWEZA KUPATA VYUO NA SCHOLARSHIPS HUKU KOREA ANGALIA MTANDAO WAO, www.tzsko.com
ASANTE Sana

Webmaster
TZSKO(TANZANIA STUDENTS IN KOREA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wapi mamaaaa aster! Nakuona mtu wangu. Yaani DON'T!

    ReplyDelete
  2. Scholarship zote mbona wanapiwa magalantia. Nasisi makomredi tufikirieni!!

    ReplyDelete
  3. Umoja wenu udumu tunaona mnajitahidi.nawaona wadau dada Lina, Akinyi,Athumani, Boniface n.k.kitabu chema wapendwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...