Kikosi cha Timu ya Yanga
Kikosi cha Timu ya Azam
Nurdin Bakari (katikati) akimiliki mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Azam, Humud Mohamed katika mchezo wa kirafiki wa kuchangia walemavu uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini dar es Salaam leo. Azam imeshinda 2-0.
Mshambuliaji wa Yanga, Keneth Asamoah akiruka daluga la beki wa Azam, Agrey Morris.
Mshambuliaji wa Yanga, Pius Kisambale wa Yanga akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Azam, Said Morad.
Mshambuliaji wa Azam, Mrisho Ngasa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga, Salum Telela katika mchezo wa kirafiki wa kuchangia walemavu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa leo. Azam imeshinda 2-0.
Wachezaji wa timu ya Azam FC wakishangili ushindi wa timu yao.Picha na Francis Dande.
wachezaji wetu bwana kwa kusema kweli wamechoka , yani wakifua hizo jersey uwezi wataambua kama hata ni wana michezo. jamani wakubwa mazoezi ya mpira si kukimbizana tu na kutoka jasho , kuna kula pia. lol
ReplyDeletemdau paris
klabu zetu hovyo,hao wachezaji ukiwaita timu ya taifa hamna kitu hawana msaada wowote kwenye soka letu siwakubali kabisa ni mizigo tu,kwanza hata miili ya kimichezo hawana uozo mtupu
ReplyDeleteHahahaha Mdau wa Paris umesasambua!!!
ReplyDeleteMipango ya lishe inahitajika saana kwa Wachezaji wetu hasa angalau timu ya Taifa wangekuwa hata wanapewa Kupon za madishi ktk Hoteli kubwa kubwa badala ya Mashabiki kuwakirimu kwa Pombe ktk Mabaa na kuwaunganisha na shawishi za Ngono zembe!
tazama soksi za wachezaji wa Yanga,
ReplyDeleteaibu tupu na hapo mechi ndo inaanza
Mbona hakuna mashabiki??? Au kwa sababu hizi ( yanga and azam ) zimejaa wachovu watupu
ReplyDeleteazam endeleeni vivyo hivyo, hata simba wakija jitahidini kuwafunga, tuondoe mawazo mgando ya usimba na uyanga yanaharibu maendeleo ya soka tz.
ReplyDeleteSHABIKI WA AZAM
THE BRAIN
Safari ya Ngasa Marekani imeota mbawa? Anaenda au haendi?
ReplyDeleteHUYU WALIMWAMBIA KUWA HAWAMCHUKUI,SASA YEYE NA WAKALA WAKE ILI WASIAIBIKE WAKASEMA KUWA ATAENDA DESEMBA WAKIDHANI KUWA DESEMBA NI MIAKA 50 IJAYO,SASA DESEMBA IMEFIKA MBONA KIMYA KINGI.
ReplyDeleteKIJANA ALISHAPATA SIFA ZA KIJINGA NA KUINGIA KTK MAMBO YA NGONO,MARA LEO HUYU KESHO YULE,MPIRA HAUTAJI HIVYO UNAHITAJI DISCPLINE YA HALI YA JUU,MAMBO YA KUNGONOA HOVYO HANAWAMALIZA NGUVU NA HIVI VICHIPSI VYENU MNAVYOSHINDIA BAADA YA KUTOKA ZOEZI BADALA YA KULA DONA.MTU KAMA NGASA ALIHITAJI MSIMAMIZI WA KUANGALIA MUENENDO WAKE WA MAZOEZI PAMOJA NA LISHE KAMA KWELI ALIAHIDIWA NAFASI KULE NA INGEWEZEKANA PIA AKAISHI KAMBINI NA SI NYUMBANI KWAKE,MAANA WALE JAMAA FIKIRIA MUDA WOTE TANGU UFANYE ZOEZI MPAKA LEO AMEONGEZEKA MWILI?AU AMEONGEZEKA MSULI?NGASA WA LEO SIYO YULE ALIYEKUWA KAGERA SUGAR,WA LEO AMECHUJA SANA KWA HIYO HAWEZI PATA NAFASI ULAYA LABDA KUBEBA BOKSI/KUCHUMA MATUNDA KAMA MWAMEJA.