On January 10, 2012 members of the Tanzanian Police Field Force Unit (FFU) led by Assistant Superintendent of Police, Israel Makongo (third from right, front row) attended training on Embassy emergency procedures at the U.S. Embassy in Dar es Salaam. Pictured is the U.S Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt (second from right, front row), U.S. Regional Security Officer Mr. Jeremy Yamin (right, front row) and U.S Marine Security Guard (left) with the training participants. (Photo courtesy of the American Embassy).
Home
Unlabelled
Ambassador Alfonso Lenhardt with Police Officers
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



utumwa wa Kitawala unarudi taratibu bila kujijuwa. na hii bania michuzi.
ReplyDeleteKina Ras Makunja mmeona lakini mwenzenu alivyosimama??!!
ReplyDeleteJamani hao wamarekani sio ndugu zenu nyie jifanyeni kimbelembele tu..wana lao jambo wanalolitafuta shauri yenu.
ReplyDeletekina Ras Makunja mpo soup soup lakini bila ya magitaa hamana raha ! lakini pamba zenu safi sana
ReplyDeleteBongo Tambarare oyeeeeeeeeeeee
eh! bwana eh! akina ras makunja mnamwanamuziki mzungu?
ReplyDeleteAsante anony wa tatu toka juu kwa kumpigia buzi gitaa.
ReplyDeletembona wanapowapa misaada kama vyandarua,madawa ya ukimwi hamlalamiki,waswahili bwana kazi kupiga domo vitendo zero.
ReplyDeleteTanzania kwa Marekani unampigia mbuzi gitaa. Atabaki anakushangaa. Marekani kaona Mchina yupo Tanzania na yeye anataka kujitanua. Akishapata chake anakupiga teke.
ReplyDeleteWewe anony misaada ya vyandarua na dawa za ukimwi!!! unajuwa wao wanachukuwa kiasi gani toka kwetu? Dunia hii ni ya mjinga ndiye aliwae.
ReplyDeleteSasa hivi nchi za ulaya wakitaka kuwapa msaada wa bure Nigeria, Wanigeria wanawauliza swali kwa msaada huu nyinyi mutapata nini? hili ni swali la mtu asiyebabaika, na asiyependa kuibiwa. Je, wabongo tunaweza kuuliza swali hili? au tukisikia misaada basi tunakimbilia kama chatu na mbwa?
Kwa taarifa za kuaminika. Huyo jamaa aliyesimama msitali wa mbele wa kwanza mkono wa kushoto, wenzake kule kwenye nchi ya milima milima wanakopigana miaka nenda miaka rudi wameonekana kwenye kideo wanakojolea maiti za wapiganaji wazawa wa huko! Hata wanyama hawawezi kufanya kitenda hicho!
ReplyDeleteMichuzi ukiipata hiyo tubandikie.