On January 10, 2012 members of the Tanzanian Police Field Force Unit (FFU) led by Assistant Superintendent of Police, Israel Makongo (third from right, front row) attended training on Embassy emergency procedures at the U.S. Embassy in Dar es Salaam. Pictured is the U.S Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt (second from right, front row), U.S. Regional Security Officer Mr. Jeremy Yamin (right, front row) and U.S Marine Security Guard (left) with the training participants. (Photo courtesy of the American Embassy).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. utumwa wa Kitawala unarudi taratibu bila kujijuwa. na hii bania michuzi.

    ReplyDelete
  2. Kina Ras Makunja mmeona lakini mwenzenu alivyosimama??!!

    ReplyDelete
  3. Jamani hao wamarekani sio ndugu zenu nyie jifanyeni kimbelembele tu..wana lao jambo wanalolitafuta shauri yenu.

    ReplyDelete
  4. kina Ras Makunja mpo soup soup lakini bila ya magitaa hamana raha ! lakini pamba zenu safi sana
    Bongo Tambarare oyeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. eh! bwana eh! akina ras makunja mnamwanamuziki mzungu?

    ReplyDelete
  6. Asante anony wa tatu toka juu kwa kumpigia buzi gitaa.

    ReplyDelete
  7. mbona wanapowapa misaada kama vyandarua,madawa ya ukimwi hamlalamiki,waswahili bwana kazi kupiga domo vitendo zero.

    ReplyDelete
  8. Tanzania kwa Marekani unampigia mbuzi gitaa. Atabaki anakushangaa. Marekani kaona Mchina yupo Tanzania na yeye anataka kujitanua. Akishapata chake anakupiga teke.

    ReplyDelete
  9. Wewe anony misaada ya vyandarua na dawa za ukimwi!!! unajuwa wao wanachukuwa kiasi gani toka kwetu? Dunia hii ni ya mjinga ndiye aliwae.

    Sasa hivi nchi za ulaya wakitaka kuwapa msaada wa bure Nigeria, Wanigeria wanawauliza swali kwa msaada huu nyinyi mutapata nini? hili ni swali la mtu asiyebabaika, na asiyependa kuibiwa. Je, wabongo tunaweza kuuliza swali hili? au tukisikia misaada basi tunakimbilia kama chatu na mbwa?

    ReplyDelete
  10. Kwa taarifa za kuaminika. Huyo jamaa aliyesimama msitali wa mbele wa kwanza mkono wa kushoto, wenzake kule kwenye nchi ya milima milima wanakopigana miaka nenda miaka rudi wameonekana kwenye kideo wanakojolea maiti za wapiganaji wazawa wa huko! Hata wanyama hawawezi kufanya kitenda hicho!

    Michuzi ukiipata hiyo tubandikie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...