Hatimaye Whitney Houston Jumapili hii amelazwa katika nyumba yake ya milele huko Marekani. Chanzo na picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
mazishi ya whitney houston
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
R.I.P Whitney.
ReplyDeleteNina maswali ya madogo ya kijinga
1:Wakazi wa US:Hicho kigari kama kisubaru kilichobeba jeneza ndiyo kinaitwaje??
2:Niliona BBC walicover misa karibu yote(~2hrs).Kuna mtu analipia hiyo air time au ni bure?
David V
sio Los Angels bwana, kuwa mwangalifu na habari zako zisizo na ukweli
ReplyDeleteSAHIHISHO.....WHITNEY HAKUZIKWA LOS ANGELES, ILA SEHEMU ALIYOTOKA, NEWARK, NEW JERSEY.
ReplyDeleteWhitney amezikwa New Jeasy, sio Los Angeles. Get your facts right!!!
ReplyDelete@David V
ReplyDelete1.hiyo gari ni termed as "hearse"
make yake hiyo specifically ni lincoln
2.coverage ni by BBC themselves for marketing and accountability purposes
Asante Black nilekupata nilitaka kufahamu mode/make ya hicho 'kipanya'swali langu sikuliweka wazi samahani.Hata hilo neno hearse ndiyo mara ya kwanza nalipata kutoka kwako ilibidi nili-google..Kwa nchi zinazoendelea ndiyo kwanza tunaanza kutumia hizo "hearse"
ReplyDeleteKeep well black
David V
BBC haikucharge ni bure. Ndio maana waingereza kila mwenye TV nyumbani kisheria analipia kitu kinaitwa Licence Fee kuchangia mapato ya kuendesha Shirika la Utangazaji la Taifa, na hii inafanya kuwa BBC kumilikiwa na wananchi wenyewe, na haitwi ya serikali bali ya wananchi.
ReplyDeleteNa ndio Tido Mhando alikuwa anatujngea na sisi TBC kiwango hicho cha kimataifa ila wakamkataa.
sisi hatutaki TBC iwe ya kiwango cha mataifa...kwanza kwaajili nani?tunataka iwe kwa kiwango cha taifa ili tufaidi wenyewe.hatutaki umbea hahahahah TIDO siaanzishe yake kama rahisi kwani mpaka aajiliwe?
ReplyDeleteKitu kama TV kikiwa cha watu ndio kinakuwa na Utashi mpana kwa wengi kuliko cha Taifa!
ReplyDeleteNdio maana kwa mipango ya kisasa vitu vya mitaji vinamilkiwa kwa hisa za watu ikiwezekana kupitia Masoko ya Hisa, mfano mabenki kama CRDB PLC., yaani PLC (People Limited Company).
Tatizo kubwa suala la Taifa linatoa mwanya kwa wachache kujimimilikisha na kutumia kinyume na matarajio kwa vile Serikali nyingi za Dunia yetu ziko chini ya kundi dogo la watu.