Hatimaye Whitney Houston Jumapili hii amelazwa katika nyumba yake ya milele huko Marekani. Chanzo na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. R.I.P Whitney.

    Nina maswali ya madogo ya kijinga

    1:Wakazi wa US:Hicho kigari kama kisubaru kilichobeba jeneza ndiyo kinaitwaje??

    2:Niliona BBC walicover misa karibu yote(~2hrs).Kuna mtu analipia hiyo air time au ni bure?

    David V

    ReplyDelete
  2. sio Los Angels bwana, kuwa mwangalifu na habari zako zisizo na ukweli

    ReplyDelete
  3. SAHIHISHO.....WHITNEY HAKUZIKWA LOS ANGELES, ILA SEHEMU ALIYOTOKA, NEWARK, NEW JERSEY.

    ReplyDelete
  4. Whitney amezikwa New Jeasy, sio Los Angeles. Get your facts right!!!

    ReplyDelete
  5. @David V
    1.hiyo gari ni termed as "hearse"
    make yake hiyo specifically ni lincoln


    2.coverage ni by BBC themselves for marketing and accountability purposes

    ReplyDelete
  6. Asante Black nilekupata nilitaka kufahamu mode/make ya hicho 'kipanya'swali langu sikuliweka wazi samahani.Hata hilo neno hearse ndiyo mara ya kwanza nalipata kutoka kwako ilibidi nili-google..Kwa nchi zinazoendelea ndiyo kwanza tunaanza kutumia hizo "hearse"

    Keep well black

    David V

    ReplyDelete
  7. BBC haikucharge ni bure. Ndio maana waingereza kila mwenye TV nyumbani kisheria analipia kitu kinaitwa Licence Fee kuchangia mapato ya kuendesha Shirika la Utangazaji la Taifa, na hii inafanya kuwa BBC kumilikiwa na wananchi wenyewe, na haitwi ya serikali bali ya wananchi.
    Na ndio Tido Mhando alikuwa anatujngea na sisi TBC kiwango hicho cha kimataifa ila wakamkataa.

    ReplyDelete
  8. sisi hatutaki TBC iwe ya kiwango cha mataifa...kwanza kwaajili nani?tunataka iwe kwa kiwango cha taifa ili tufaidi wenyewe.hatutaki umbea hahahahah TIDO siaanzishe yake kama rahisi kwani mpaka aajiliwe?

    ReplyDelete
  9. Kitu kama TV kikiwa cha watu ndio kinakuwa na Utashi mpana kwa wengi kuliko cha Taifa!

    Ndio maana kwa mipango ya kisasa vitu vya mitaji vinamilkiwa kwa hisa za watu ikiwezekana kupitia Masoko ya Hisa, mfano mabenki kama CRDB PLC., yaani PLC (People Limited Company).

    Tatizo kubwa suala la Taifa linatoa mwanya kwa wachache kujimimilikisha na kutumia kinyume na matarajio kwa vile Serikali nyingi za Dunia yetu ziko chini ya kundi dogo la watu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...