Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa kilele cha kuadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa chama hicho Jumapili. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. To be fair...ccm hapa walijiandaa vizuri hawajakurupuka kwenye hii sherehe, mchawi achukiwe ila sifa yake apewe"anajuwa kuroga"

    ReplyDelete
  2. Duh mbeba box mie mbona sielewi!! nafatilia mtandao mmoja na watu wadai ccm haina wapenzi huko bara kabisa. Sasa hawa wametoka nchi jirani ama?

    Makame

    ReplyDelete
  3. Ah!! CCM inapendwa sana bara,wanaosema haipendwi bara hawana uhakika.

    Tatizo nadhani ni baadhi ya viongozi wake matendo yao na ahadi zao kwa wananchi vyawakatisha tamaa.

    Kama kuna vitu waona haviwezekani au huna uwezo navyo usiahidi.Unaposhindwa kutekeleza ndipo unaichafua CCM.

    CCM ni bomba sana,na inapendeza,hata mavazi yao wakivaa wanapendeza.Wewe tu linganisha na mengine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...