Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa kilele cha kuadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa chama hicho Jumapili. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
sherehe za miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba jijini Mwanza Jumapili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
To be fair...ccm hapa walijiandaa vizuri hawajakurupuka kwenye hii sherehe, mchawi achukiwe ila sifa yake apewe"anajuwa kuroga"
ReplyDeleteDuh mbeba box mie mbona sielewi!! nafatilia mtandao mmoja na watu wadai ccm haina wapenzi huko bara kabisa. Sasa hawa wametoka nchi jirani ama?
ReplyDeleteMakame
Ah!! CCM inapendwa sana bara,wanaosema haipendwi bara hawana uhakika.
ReplyDeleteTatizo nadhani ni baadhi ya viongozi wake matendo yao na ahadi zao kwa wananchi vyawakatisha tamaa.
Kama kuna vitu waona haviwezekani au huna uwezo navyo usiahidi.Unaposhindwa kutekeleza ndipo unaichafua CCM.
CCM ni bomba sana,na inapendeza,hata mavazi yao wakivaa wanapendeza.Wewe tu linganisha na mengine.