![]() |
Hayati Hamidu Bisanga 'Hambis' |
NI MIAKA MITATU (3) SASA ULIPOTUTOKA GHAFLA
KWA AJALI YA GARI.
NI VIGUMU KUZIBA PENGO ULILOTUACHIA. HATUNA BUDI KUMSHUKURU
MUNGU KWA KILA JAMBO.
UNAKUMBUKWA SANA NA MKEO MPENDWA BI. TUNU
BISANGA,WATOTO,WAJUKUU, NDUGU NA MARAFIKI.
TUNAKUOMBEA KWA ALLAH AKUPUNGUZIE ADHABU YA
KABURI.
AMINA
WAINNA LILLAH WAINNA LILLAH RAJUUN.
Tunamwomba Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi na Mwenye uwezo juu ya kila kitu, amweke ndugu yetu Hamidu mahali pema peponi. Amin. Inna liLlahi wa inna ilayhi rrajiun. Tumetoka (tumeumbwa na) kwa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
ReplyDeleteGone but not forgotten. May Allah rest your soul in eternal peace Hamidu. I still remember you from the Daily News day when we used to hang out with Tony Baretto, Danford and the rest of the crew.
ReplyDeleteR.I.P my brother
ReplyDeleteTunakukumbuka sana bwana Bisanga, Tunamuomba M'Mungu akupumzishe kwa amani.
ReplyDeleteHamida
Mungu aileaze roho yako mahala pema milele. bll
ReplyDeleteINNA LILLAHI WAINNA ILLEYHI LAJU'UN
ReplyDelete"Ya'arabi mpunguzie huyu mja wako na waliotangulia mbele ya haki adhabu za kaburi!Na uwatie wote katika Pepo yako TUKUFU"!!!!"Amiin Rabil Alamiin"
Ahlam,,,UK
Ama kwa hakiki mungu hana mpinzani kwani anachoaamua yeye huwezi kukupinga kwa chochote anyways ndio hivyo kila kilichoubwa na mungu hakika kitaonja umauti, leo yeye kesho sisi Mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Hawaa
ReplyDeleteWe miss you so much my dear Hambis, we always remember you. We miss the time we share together, your love, advice, kindness, honest, help etc. Never will have a true friend like you Hamidu. May God rest you in piece, Amen. Your true friend Sia.
ReplyDeleteInna lillahi wa inna ilayhi raji'un:
ReplyDeleteMwenezni Mungu akupe kauli thabit akuondeshe adhabu ya kaburi.
Ameen.