Hayati Hamidu Bisanga 'Hambis'
NI MIAKA MITATU (3) SASA ULIPOTUTOKA GHAFLA KWA AJALI YA GARI.

NI VIGUMU KUZIBA PENGO ULILOTUACHIA. HATUNA BUDI KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO.

UNAKUMBUKWA SANA NA MKEO MPENDWA BI. TUNU BISANGA,WATOTO,WAJUKUU, NDUGU NA MARAFIKI.


TUNAKUOMBEA KWA ALLAH AKUPUNGUZIE ADHABU YA KABURI. 

AMINA



WAINNA LILLAH WAINNA LILLAH RAJUUN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Tunamwomba Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na ardhi na Mwenye uwezo juu ya kila kitu, amweke ndugu yetu Hamidu mahali pema peponi. Amin. Inna liLlahi wa inna ilayhi rrajiun. Tumetoka (tumeumbwa na) kwa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.

    ReplyDelete
  2. Gone but not forgotten. May Allah rest your soul in eternal peace Hamidu. I still remember you from the Daily News day when we used to hang out with Tony Baretto, Danford and the rest of the crew.

    ReplyDelete
  3. Neema GunzarethMarch 29, 2012

    R.I.P my brother

    ReplyDelete
  4. Tunakukumbuka sana bwana Bisanga, Tunamuomba M'Mungu akupumzishe kwa amani.

    Hamida

    ReplyDelete
  5. Mungu aileaze roho yako mahala pema milele. bll

    ReplyDelete
  6. INNA LILLAHI WAINNA ILLEYHI LAJU'UN
    "Ya'arabi mpunguzie huyu mja wako na waliotangulia mbele ya haki adhabu za kaburi!Na uwatie wote katika Pepo yako TUKUFU"!!!!"Amiin Rabil Alamiin"

    Ahlam,,,UK

    ReplyDelete
  7. Ama kwa hakiki mungu hana mpinzani kwani anachoaamua yeye huwezi kukupinga kwa chochote anyways ndio hivyo kila kilichoubwa na mungu hakika kitaonja umauti, leo yeye kesho sisi Mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Hawaa

    ReplyDelete
  8. We miss you so much my dear Hambis, we always remember you. We miss the time we share together, your love, advice, kindness, honest, help etc. Never will have a true friend like you Hamidu. May God rest you in piece, Amen. Your true friend Sia.

    ReplyDelete
  9. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un:

    Mwenezni Mungu akupe kauli thabit akuondeshe adhabu ya kaburi.

    Ameen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...