Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye (wapili toka kushoto) na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia wakipata picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Denmark  walipohudhulia mkutano wa vyama vya siasa uliofanyika mjini humo
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye (CCM) na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia wakiwa kwenye mkutano wa Vyama vya siasa Njini Copenhagen, Denmark.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera Mbatia dadako Ndelakindo Pepee Kessy kuwa mbunge wa East Africa anafaa

    ReplyDelete
  2. one of those sight seeing tours,Mungu akupe nini,kidonda?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...