Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye (wapili toka kushoto) na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia wakipata picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Denmark walipohudhulia mkutano wa vyama vya siasa uliofanyika mjini humo
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye (CCM) na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia wakiwa kwenye mkutano wa Vyama vya siasa Njini Copenhagen, Denmark.
Hongera Mbatia dadako Ndelakindo Pepee Kessy kuwa mbunge wa East Africa anafaa
ReplyDeleteone of those sight seeing tours,Mungu akupe nini,kidonda?
ReplyDelete