Home
Unlabelled
watoto wa shule wakipitia nyuzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du, naona hao watoto wanaangalia magazeti ya Utaku tu, kweli tunafika kwa mwendo huu.
ReplyDeleteHawaangalii news bali udaku. Inasikitisha sana kwa sababu hayo magazeti yanareport mambo uchafu mtupu.
ReplyDeleteMwanzo mzuri kwa vijana kujisomea..Lakini angalia kwa umakini magazeti waliyo-'concentrate' nayo('wenye macho yanayoona vizuri watayatambua) halafu kadiria umri wao,halafu tafakari mwenyewe.Wazazi/walezi kazi tunayo...
ReplyDeleteDavid V
watoto wa shule kwa magazeti ya udaku weeeee
ReplyDeleteNimeipenda sana hii picha>
ReplyDeleteNi vizuri! Lakini mnaona magazeti wanyotilia mkazo hapo! Ukitaka kujua tunasoma magazeti gani waangalie hao watoto!
ReplyDeleteUKIANGALIA KWA MAKINI HIYO PICHA, MACHO YOTE YAPO KWENYE MAGAZETI YA UDAKU (HAPO INA MAANISHA NINI WADAU?)
ReplyDeleteHamna cha nyuuzzz wala nini mdau, wewe huoni wamekodolea kwenye udaku tuu? Sijui tunawafundisha watoto wetu nini......
ReplyDeleteKinachonisikitisha ni kuwa watoto wote hao macho yao yako kwenye magazeti ya udaku (Uwazi, Sani, Risasi) Tutajenga wababa wenye maadili kweli kwa staili hii???
ReplyDeleteMBAYA KUONA WATOTO WANASOMA MAGAZETI YA AJABU KAMA UWAZI KIAKILI YANA HARIBU WATOTO UPEO WA FIKRA, WATOTO HAO MACHO YAPO KATIKA MAGAZETI YA UMBEA WA KINAFKI NAKUDANGANYA JAMII. MZ.
ReplyDeleteKwakweli mimi masikitiko yangu ni habari wanazoziangalia hao watoto. Natamani wangekuwa wanasoma hayo magazeti mengine, lakini wako kwenye habari zinazowabomoa mawazo na wala sio kuwajenga. Wadau tujadili ni kwa jinsi gani tunaweza kuwasaidia na kuwakinga hawa watoto na huu uhuru wa habari uliopitiliza mipaka. Lets unite and save this unprotected generation.
ReplyDeletemagazeti wanayoyasoma sasa, kaaazi kweli kweli!
ReplyDeleteHii ndio picha halisi ya aina ya habari tunazozipa umakini zaidi...ukiangalia kwenye page display hizo gazeti za udaku ndio zimepewa kipaumbele full page display magazeti mengine half page...
ReplyDeleteSalma. H
Sina uhakika kama mnaosema kuwa hao watoto wanasoma magazeti ya ajabu mko SAHIHI!! Haiwezekani magazeti ya ajabu yakaanikwa hadharani. Na kama yasingekuwa yanatakiwa kusomwa na watoto, basi sheria ingekuwepo ya kuwalazimisha wauzaji kutokuyapanga kama yanavyoonekana, na badala yake wangewekea bango tu lenye maneno kuwa magazeti ya UWAZI, KIU, RISASI, nk, pia yapo. Basi wale wapenzi wa hayo magazeti wangepatiwa tu. Lakini kama yako wazi hivyo, ni rukhusa kwa kila mmoja. Hakuna haja ya kuwanyanyasa watoto. Serikali ikiona kuwa watoto hawatakiwi kuyasoma, wataweka utaratibu mzuri.
ReplyDeleteThere is nothing wrong to read udaku. They are doing this out of "Intellectual curiosity". However, it is society's responsibility to prepare them to become informed consumer of information. GOOD JOB KIDS!
ReplyDeleteHili ni mojawapo ya mambo yanayoporomosha jamii yetu. Siku hizi ukitembea kila mtaa unaona madanguro,vioski vya pombe,bar,guest bubu,waenda uchi........nk na jamii imekaa kimya inafaudu mambo! Acha vijana nao wapate raha zao kitachotokea baadae nani anajua?
ReplyDeleteTuache mawazo mgando! Hayo magazeti watoto walikuta yakiwa yamepangwa tayari! wala hakuna aliyebeba gazeti mkononi ili kutupatia evidence kwamba wanasoma udaku! Sioni kosa lolote la watoto hapo! Watanzania bado kazi ipo!!!
ReplyDeleteWanasoma Udaku. Ni taswira ya wazazi na walezi wao. mtoto wa panya ni panya tuuuuu!
ReplyDeleteKAMA WAZAZI WANASOMA UDAKU ,KWANINI MNASHANGAA WATOTO ?HAMNA CHA KUSHANGAZAZA HAPO ............NA KWA TAARIFA YENU HAMNA MAGAZETI YA WATOTO BONGO ,TUMEWANYIMA WATOTO HAKI YAO,HII BUSSINESS IDEA KWA WANAHABARI KUCHANGAMKA KUWA NA MAJARIDA YA WATOTO YENYE KATUNI ,MAFUMBO MICHEZO ,MAZOEZI YA KIELEIMU ETC
ReplyDeleteMDAU