Rais mstaafu wa Marekani, George Bush, akila tizi enzi zake


Rais Barak Obama wa Marekani  akipiga  jaramba kuelekea garini  baada ya kutua na dege lake la Air Force One

Rais Barak Obama wa Marekani akitrot kuingia uwanjani huku kala suti. Hapa hamna noma wala nini na jamaa yuko fiti kama JK vile

Rais Barak  Obama  wa Marekani akila tizi mitaa ya Washington DC

Rais aliyepita wa Ufaransa ,
Nicolas Sarkozy, akijifua huku bonge la mvua likinyesha. Rais kuwa fiti  ni bonge la dili ati....

Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton akila tizi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2012

    safi sana tuna taka awe hivi kivi kikwete anakula mazoezi sio leo hii kuvimba kitambi na kuwa nene nene hatak kukimbia ashindwe, marais walio wanene wa africa ni funzo kwenu mjifunze kwa kikwete na wenginewe wanao thamin na kujua nini umuhimu wa afya zao.

    brazo issa muhidin kwa kitu kitu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2012

    Mazoezi Afya

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2012

    Obama hana kitambi JK anacho anahitaji situp nyingi kukata kitambi.So far anajitahidi,mfano mzuri toka Mzee Mwinyi na Nyerere ambao waliweka historia za kutembea mara kwa mara.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2012

    Bushi kwa kujipendelea ,eti kaweka namba moja kwenye jezi yake akidhini Raisi lazma awe wa kwanza kwa kila kitu.Aombe mechi na Raisi Kikwete aone wa bongo tunavyochanja mbuga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...