EBWANA MI NI KIJANA WA KIUME WA KITANZANIA NIISHIE KILIMANJARO, NAPENDA SANA UNISAIDIE KUPATA MCHUMBA AMBAYE ANASIFA KAMA ZIFUATAZO:
*AWE ANAFANYA KAZI AU MFANYABIASHARA,
*AWE MZURI WA KUVUTIA WA MIAKA KATI YA 20-25.
*ASIWE ANAVUTA SIGARA WALA KUNYWA POMBE
*AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI.
*AWE NA ELIMU KUANZIA KITATO CHA NNE.
MIMI NI MWAJIRIWA WA SERIKARINI.
ELIMU YANGU NI CHUO KIKUU.
EMAIL YANGU NI( hasaraja21@hotmail.com)
kuku wa kienyeji hawa...
ReplyDeleteGood luck on your hunting journey, may the allmighty help you finding what you are looking for.
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi.
Kabisaaaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteWanahitaji taa ndani ya banda! :)
Mtafut mchumba, kweli uko siriasi?
ReplyDeleteTaratibu bwana!!
ReplyDeleteunatafuta mchumba wa kiume (bwabwa) au wa kike
ReplyDeletehuyu jamaa ni ngoromiko kabisa
ReplyDeleteTembelea nyumba za ibada mara kwa mara baada ya muda utafahamu tabia za waumini wenzako na utampata mchumba mwema
ReplyDeleteDini gani?
ReplyDeletewewe huna elimu ya chuo kikuu , kwa upeo wako mdogo wa elimu uliyonayo haifanani kabisa na elimu yako
ReplyDeletekuwa wewe usaidiwe kutafuta mchumba au mke nikuwa bado hujakomaa kielimu yeyote hapa duniani
jaribu kwenda kumuona daktari kwanza akupime akili yako halafu ikidhitika kuwa wewe ni mzima basi nakuhakikishia hutohitajia msaada wa kutafuta mke
ila kabla hujaenda mbali pima akili yako kwanza na kipmo hichi unaweza kukipata kcmc moshi au hapa hapa jijini dar
ukitaka msaada wangu tel 0715 294770, nipigie nikupangie ahadi ya kumuona daktari haraka sana usichelewe kwani nitaondoka kwenda safari kidogo mikoani
shurkan sana
Mademu wote hao bwana bwashee unashindwa kutongoza?Tena wenye sifa hizo hizo unazozitaka Bwashee.
ReplyDeleteKutongoza Mchezo?
ReplyDeleteJamaa inaonekana 'domo zege'
Jiunge facebook, huko utapata wakujaribu mpaka unayemtaka. Ndiyo kazi hasa ya facebook
ReplyDelete