EBWANA MI NI KIJANA WA KIUME WA KITANZANIA NIISHIE KILIMANJARO, NAPENDA SANA UNISAIDIE KUPATA MCHUMBA AMBAYE  ANASIFA KAMA ZIFUATAZO:

*AWE ANAFANYA KAZI AU MFANYABIASHARA, 
*AWE MZURI WA KUVUTIA WA  MIAKA KATI YA 20-25. 
*ASIWE ANAVUTA SIGARA WALA KUNYWA POMBE 
*AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI.
*AWE NA ELIMU KUANZIA KITATO CHA NNE.

 MIMI NI MWAJIRIWA WA SERIKARINI. 
ELIMU YANGU NI CHUO KIKUU. 
EMAIL YANGU NI( hasaraja21@hotmail.com)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2012

    kuku wa kienyeji hawa...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2012

    Good luck on your hunting journey, may the allmighty help you finding what you are looking for.
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2012

    Kabisaaaaaaaaaaaaaaa!
    Wanahitaji taa ndani ya banda! :)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2012

    Mtafut mchumba, kweli uko siriasi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2012

    Taratibu bwana!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2012

    unatafuta mchumba wa kiume (bwabwa) au wa kike

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2012

    huyu jamaa ni ngoromiko kabisa

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2012

    Tembelea nyumba za ibada mara kwa mara baada ya muda utafahamu tabia za waumini wenzako na utampata mchumba mwema

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2012

    Dini gani?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2012

    wewe huna elimu ya chuo kikuu , kwa upeo wako mdogo wa elimu uliyonayo haifanani kabisa na elimu yako

    kuwa wewe usaidiwe kutafuta mchumba au mke nikuwa bado hujakomaa kielimu yeyote hapa duniani

    jaribu kwenda kumuona daktari kwanza akupime akili yako halafu ikidhitika kuwa wewe ni mzima basi nakuhakikishia hutohitajia msaada wa kutafuta mke

    ila kabla hujaenda mbali pima akili yako kwanza na kipmo hichi unaweza kukipata kcmc moshi au hapa hapa jijini dar

    ukitaka msaada wangu tel 0715 294770, nipigie nikupangie ahadi ya kumuona daktari haraka sana usichelewe kwani nitaondoka kwenda safari kidogo mikoani

    shurkan sana

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2012

    Mademu wote hao bwana bwashee unashindwa kutongoza?Tena wenye sifa hizo hizo unazozitaka Bwashee.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 05, 2012

    Kutongoza Mchezo?

    Jamaa inaonekana 'domo zege'

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 05, 2012

    Jiunge facebook, huko utapata wakujaribu mpaka unayemtaka. Ndiyo kazi hasa ya facebook

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...