Washiriki wa shindano la Redd's Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa.Warembo hao ni Gloryblaca Mayowa (Lindi),Hamisa Hassan (Kinondoni),Queen Saleh (Ilala),Christine Willium (Iringa),Pendo Laizer (Arusha),Lisa Jensen (Mara),Mwajuma JUma (Tmk),Neema Saleh (Ilala),Jeneffer Kalolaki (Ilala) pamoja na Stella Mbuge (Kinondoni).Picha ya chini (katikati) ni Miss Tanzania 2011,Salha Israel.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2012

    Huyu mdada mweupe anafanana na Lisa Jensen

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2012

    how old is Lisa Jensen?

    ReplyDelete
  3. Hivi huyu Lisa Jensen si aliwahi kushiriki mashindano kama haya hapo nyuma katika mkoa wa Arusha? Imekuwaje leo anakuwa mrembo wa mkoa wa MARA? Duh, hii kali.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2012

    Ila watoto 'watamu' kwani ng'ombe anazeeka maini?

    Hata kama Lisa ni mkubwa lakini kwa vile ni mwanamke bado angali mtamu.

    Ndio ni Lisa lakini mwenyewe amejitunza na bado angali mtamu sasa nini?

    Mtamu Bi. Kidude wa Zanzibar wa muhogo wa jang'ombe atakuwa Lisa mtamu?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2012

    Ukisikia Bongo Tambarale,,,,ndio hapa sasa!

    Bongo Paradiso watu hawazeeki , nchi zingine zenye shida ndio watu wanazeeka na Warembo wanashiriki kwa mara moja lakini kwenye 'nchi ya Uzima wa Milele Tanzania' hakunaga kuzeeka !

    Wanazeeka Majuu huko Ulaya na Marekani kwnye mashinikizo ya damu, na heka heka za maisha na majoto ya mshike mshike !

    Mtaweza kuja kusikia Listi hiyo chini ya wakali wa Karne 11 wakiwa ktk miaka yao ya kutesa ikirudi kushiriki tena REDD'S Miss Tanzania:

    1.WEMA SEPETU-2006
    2.NANCY SUMARI-2005
    3.SILVIA BAHAME-2007
    4.NASREEN KARIM-2008
    5.JOKATE MWEGELO-2004
    6.LUCY KIHWELE-1994
    7.MISSY TEMEKE (USA)-2002
    8.IRENE KIWIA-2003
    9.HAPPINESS MAGESE-1999
    10.SHOSE SINARE-1995
    11.BIBI KIDUDE(MHOGO WA JANG'OMBE)-1899

    Mpo hapo?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2012

    Lisa Jensen anastahili pongezi kwa mambo haya:

    1.Ni jasiri amethubutu kusimama na 'vigoli' waliokuwa wanafutwa kamasi wakati yeye akiwa hewani kwenye fani !

    2.Amejitunza kwa kuwa wenzake aliosimama nao hivi sasa ni vikongwe kabisa !

    3.Ni mkali kiukweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...