Washiriki wa shindano la Redd's Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa.Warembo hao ni Gloryblaca Mayowa (Lindi),Hamisa Hassan (Kinondoni),Queen Saleh (Ilala),Christine Willium (Iringa),Pendo Laizer (Arusha),Lisa Jensen (Mara),Mwajuma JUma (Tmk),Neema Saleh (Ilala),Jeneffer Kalolaki (Ilala) pamoja na Stella Mbuge (Kinondoni).Picha ya chini (katikati) ni Miss Tanzania 2011,Salha Israel.
Home
Unlabelled
wanyange wa Redd's Miss World Tanzania 2012 wakiwa kambini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Huyu mdada mweupe anafanana na Lisa Jensen
ReplyDeletehow old is Lisa Jensen?
ReplyDeleteHivi huyu Lisa Jensen si aliwahi kushiriki mashindano kama haya hapo nyuma katika mkoa wa Arusha? Imekuwaje leo anakuwa mrembo wa mkoa wa MARA? Duh, hii kali.
ReplyDeleteIla watoto 'watamu' kwani ng'ombe anazeeka maini?
ReplyDeleteHata kama Lisa ni mkubwa lakini kwa vile ni mwanamke bado angali mtamu.
Ndio ni Lisa lakini mwenyewe amejitunza na bado angali mtamu sasa nini?
Mtamu Bi. Kidude wa Zanzibar wa muhogo wa jang'ombe atakuwa Lisa mtamu?
Ukisikia Bongo Tambarale,,,,ndio hapa sasa!
ReplyDeleteBongo Paradiso watu hawazeeki , nchi zingine zenye shida ndio watu wanazeeka na Warembo wanashiriki kwa mara moja lakini kwenye 'nchi ya Uzima wa Milele Tanzania' hakunaga kuzeeka !
Wanazeeka Majuu huko Ulaya na Marekani kwnye mashinikizo ya damu, na heka heka za maisha na majoto ya mshike mshike !
Mtaweza kuja kusikia Listi hiyo chini ya wakali wa Karne 11 wakiwa ktk miaka yao ya kutesa ikirudi kushiriki tena REDD'S Miss Tanzania:
1.WEMA SEPETU-2006
2.NANCY SUMARI-2005
3.SILVIA BAHAME-2007
4.NASREEN KARIM-2008
5.JOKATE MWEGELO-2004
6.LUCY KIHWELE-1994
7.MISSY TEMEKE (USA)-2002
8.IRENE KIWIA-2003
9.HAPPINESS MAGESE-1999
10.SHOSE SINARE-1995
11.BIBI KIDUDE(MHOGO WA JANG'OMBE)-1899
Mpo hapo?
Lisa Jensen anastahili pongezi kwa mambo haya:
ReplyDelete1.Ni jasiri amethubutu kusimama na 'vigoli' waliokuwa wanafutwa kamasi wakati yeye akiwa hewani kwenye fani !
2.Amejitunza kwa kuwa wenzake aliosimama nao hivi sasa ni vikongwe kabisa !
3.Ni mkali kiukweli!