Kazi ikiendelea katika Daraja la LAELA
 Mafundi wakiwa kazini kurekebisha mifereji kwenye barabara hiyo mpya.
  Daraja la MPUI
Mkeka kutoka Tunduma kuelekea Sumbawanga. Picha na Adam Mzee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2012

    anapotoka mkuu kwa nchi zetu lazima malengo yote yaelekezwe huko

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2012

    Huyo mwenye nyumba hiyo karibu na barabara aondoe mara moja,hiyo ni resrve ya barabara.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2012

    we anoy Sat Jul 14, 02:06:00 AM 2012 hapo ni sumbawanga hiyo ni nyumba ya mukulu wa inchinto hatoki hivi hivi atakae mgusa atajuta na ukoo wake

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2012

    Halafu serikali hii haijafanya chochote kwa miaka 50 iliyokuwa madarakani. Hakuna hata mwanahabari alietoa makala makala ya maendeleo hata ya kijijini kwake mahala ambapo alikwenda kwa miguu, kama hivi sasa bado anakwenda kwa miguu. Ambapo hakujaendelea ni pwani tu na of course history tells itself ni kwa makusudi tu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2012

    Big up Kwa serikali Ni road muhimu...Kantalamba kufika itakuwa kiulaiiiini!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2012

    tunashukuru sana, sa ivi sumbawanga itakuwa rahisi saaana kufika, mbarikiwe

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 15, 2012

    Hapo kwenye hiyo nyumba ni Kalambazite na mwenye hiyo nyumba anaitwa Kalolo mbalamwezi wankumba hata yule jamaa mkali kamshindwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...