Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi katika viunga vya uwanja wa maonesho vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Wananchi walijipanga njiani na kusalimiana naye wakati yeye na Mama Salma Kikwete walipokuwa wakitembelea banda moja hadi lingine.
Unamuona...yuleeeee anapita!
Na mimi badooo jamani....
Sisi tunatoka Marekani... tunafurahi kusabahiana nawe
Wow! The man himself...awesome...
sikubali...
Hamjambo,,,?
Mambo,,,,!
Tumefurahi...












Nimefurahi kuona watu wakiacha mambo Yao kwa muda na kujipanga kumsalimia kipenzi chao na rais wao wakiwa na furaha hongera rais hongera wananchi kwa upendo wenu kwa rais jk
ReplyDeletestill we LOVE our president
ReplyDeletemay god bless you MY president JAKAYA MRISHO KIKWETE
Nimeipenda hiyo picha ya mtoto mama yake amemnyanyua juu na kumuonyesha unamuona yule , na mtoto amewekea makini kwa kumwangalia raisi wake, kwa upendo, anaonekana amevutiwa na kumwona Raisi
ReplyDeleteI think he is good man let us support him Please
ReplyDeletemimi ingawa sijui kiundani khs JK ila katika vitu vinavyonipendezesha kuhusu yeye ni hii hali yake ya simplicity. Namuona mara kwa mara sehemu tofauti za watanzania wa kawaida na hii on one way inawafanya wananchi wajihisi kuwa yupo karibu nao.Of course wengine wanaweza kuona kuwa ana makosa fulani fulani lakini mimi nachozungumzia hapa ni SIMPLICITY yake ambayo uongo mbaya ananikuna sana na ananifurahisha
ReplyDeleteSafi sana.
ReplyDeleteBig up Michuzi kwa kuweka Taarifa pia mh Raisi amependeza kwa kuwa karibu na wananchi wake.
Rais wa watu utamjua tu.Congratulation Mr President
ReplyDeleteGenuine LOVE from people, Genuine ADMIRATION from mass, Genuine SMILE fro the President.
ReplyDeleteMapenzi halisi kutoka kwa watu wote, Tabasamu halisi kutoka kwa Rais wetu.
Tunakupenda mheshimiwa.
We love you Mr president...... Dah watu wanamkubali mheshimiwa rais.....
ReplyDeleteAhsante sana Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete!
ReplyDeleteTutamkumbuka kwa mengi sana, jamaa ni Muungwana sana.
Mungu amzidishie Inshallah!