Je, wewe ni mwanafunzi wa zamani wa shule ya sekondari ya Kinondoni Muslim?

Karibu sana katika mkutano wa wanafunzi wa zamani wa Kinondoni Muslim;

Mkutano huo utafanyika shuleni Kinondoni Muslim

Siku;Jumamosi

Tarehe; 01.09.2012

muda; Kuzia saa 8 mchana

FIKA;

1. Upate fursa ya kuonana na kuwasalimia wanafunzi wenzako wa zamani.

2. Upate maelezo juu uanzishwaji wa Mtandao wa wanafunzi wa zamani wa Kinondoni Muslim pamoja na faida zake.

3. Ufaidike kibishara na kijamii kwa kushirikiana na mtandao wa wanafunzi wenzako wa zamani.

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na:

Bi. Mambo Tambaza (0713 236110)

AU

Barua pepe: kinondonireunion@gmail.com

Face Book: Kinondoni Reunion

USIKOSE NAFASI HII YA PEKEE YA KUKUMBUKANA NA KUFAHAMIANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kinondoni Sec Hoyeeeeeee!

    Mdau Class of 1990
    Form IV-D

    ReplyDelete
  2. Enheee

    Mimi nimesoma Kino lakini baada ya bangi nyingi na usela nikatimuliwa nikiwa form 3 mwaka 1989.

    Isipokuwa kwa sasa hivi mimi ni mstaafu wa hayo mabange na usela ni mtu mzima na kili zangu timamu ninajiheshimu na najitambua na ni mstaarabu.

    Sasa hapo mtaniweka vipi?

    Nimo au simo?

    Azasi Puzza Lee
    MSELA MSTAAFU KINOSESCO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...