Ankal,
Tuwapatie wadau habari ya matukio mbalimbali ktk ulimwengu huu kama hii ya mapokezi ya Askofu Kakobe jijini Lusaka, Zambia ktk ziara yake ya masuala ya Kiroho.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli mtume kwao hadhaminiwi.
ReplyDeleteSaafi sanaaa, alalae usimwamshe na wajinga ndiyo waliwao na akirudi kakobe tuu tuwapelekee babu wa Loliondo. Michuzi tafadhali ondoa hii video kwa sababu wanaijeria wanaingia kwenye blog yetu ya jamii na wakishtukia mchongo huu watakwenda wao Zambia na kututilia kitumbua chetu mchanga.
ReplyDeleteNaona polisi wa trafiki ktk pikipiki anatoa ishara kwa kila namna hata kwa kutumia mguu ili mgeni wao Askofu Kakobe afike salama mjini.
ReplyDeleteKweli Mtume hajulikani nyumbani kwao.
Kakobe sio mchezo nje ya bongo.
ReplyDeleteMie nimecheka Traffic anafukuza magari kwa miguu
ReplyDeletenabii rwakatare naye apewe msafara kwenda tanesco kulipa bili ya umeme
ReplyDeleteKaka Michuzi, hongera sana. Kakobe amesema umebarikiwa sana
ReplyDeletemimi Stambuli wa global
kimataifa zaidi hahahahhaha1111
ReplyDeleteDuh! itifaki kama vile mkulu wa nchi fulani.
ReplyDeleteNi Bongo tu, ila Lusaka, Zambia; Lubumbashi & Kinshasa za RDC, South Korea n.k Askofu Zachary Kakobe wanamkubali kwa sana tu.
Mdau
Barabara ya Sam Nujoma Road.
Duh Kakobe nchi za wengine anaheshimika sana. Inakuwaje hapa kwetu hatuthamini kilicho chetu?
ReplyDeleteHongera Michuzi kwa kuonyesha mfano, hasa ukizingatia ni mtu wa dini tofauti na Kakobe...
Huko huko !
ReplyDeleteAlishakwamisha maendeleo nchini kwa kuzuia nguzo za umeme zisipite ktk eneo la Kanisa lao.
Kwa Bongo huyu Mch. hana tofauti na Mzee Jangala!